MGOMBEA URAIS CCM DKT. SAMIA APOKELEWA NA MACHIFU ZANZIBAR

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akipokelewa na viongozi mbalimbali.

...................................

Na Mwandishi Wetu

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 amewasili na kupokelewa na Viongozi mbalimbali wa Chama na Jumuiya, Viongozi wa Dini, Machifu, Wazee na Maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Mjini Magharibi waliojitikeza kumlaki na kumsikiliza huku wakionesha utayari wa kuendelea kumuamini na kumpa kura nyingi za ndiyo ifikapo Oktoba 29 katika uchaguzi mkuu.

Dkt. Samia yumo kisiwani Zanzibar kuhitimisha mikutano yake ya kampeni za Urais kupitia CCM, leo tarehe 25 Oktoba 2025.

Post a Comment

0 Comments