RAIS DKT. SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUMU KUTOKA KWA RAIS WA URUSI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe.  Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mhe.  Sergei Kiriyenko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin uliowasilishwa kwake na Mhe.  Sergei Kiriyenko

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kaika picha ya pamoja na mgeni wake Mhe.  Sergei Kiriyenko. 

Post a Comment

0 Comments