MGOMBEA URAIS CCM DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUSEGA, LAMADI MKOANI SIMIYU


Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Lamadi, Busega mkoani Simiyu.

Matukio mbalimbali kwenye mkutano huo.

Sehemu ya Wananchi wa Lamadi, Busega mkoani Simiyu waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 09 Oktoba, 2025.

Mapokezi ya mgombea huyo Busega.

 Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi ilani ya uchaguzi mgombea.

Ilani ya uchaguzi ikioneshwa.
 

Post a Comment

0 Comments